Numbers 1:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wale wote katika Israeli wanaoweza kwenda vitani, wenye umri kuanzia miaka ishirini na zaidi, mtawaweka katika orodha ya vikosi vikosi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe na Haruni mtawahesabu kwa migawanyo yao wanaume wote katika Israeli wenye miaka ishirini na kuendelea wanaoweza kutumika katika jeshi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tangu mwenye miaka ishirini umri wake, na zaidi, wote wawezao kutoka kwenenda vitani katika Israeli; wewe na Haruni mtawahesabu kwa kuandama majeshi yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wale wote katika Israeli wanaoweza kwenda vitani, wenye umri kuanzia miaka ishirini na zaidi, mtawaweka katika orodha ya vikosi vikosi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe na Aroni mtawahesabu kwa migawanyo yao wanaume wote katika Israeli wenye miaka ishirini na kuendelea ambao wanaweza kutumika katika jeshi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe na Haruni mtawahesabu kwa migawanyo yao wanaume wote katika Israeli wenye miaka ishirini na kuendelea ambao wanaweza kutumika katika jeshi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kuanzia aliye na umri wa miaka ishirini na zaidi, wote wawezao kutoka kwenda vitani katika Israeli; wewe na Haruni mtawahesabu kwa kufuata majeshi yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wale wote katika Israeli wanaoweza kwenda vitani, wenye umri kuanzia miaka ishirini na zaidi, mtawaweka katika orodha ya vikosi vikosi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kuanzia kwao wenye miaka ishirini na zaidi wewe na Haroni mwakague wote pia wanaoweza kwenda vitani kwao Waisiraeli, kikosi kwa kikosi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tangu mwenye miaka ishirini umri wake, na zaidi, wote wawezao kutoka kwenenda vitani katika Israeli; wewe na Haruni mtawahesabu kwa kuandama majeshi yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale wote katika Israeli wanaoweza kwenda kwa vita, wenye umri kuanzia miaka makumi mbili na zaidi, mutawaweka katika hesabu ya majeshi yao.