Numbers 1:45 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo jumla ya wanaume wote wa Israeli wenye umri kuanzia miaka ishirini na zaidi, waliofaa kuingia jeshini nchini Israeli
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaume wote Waisraeli waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi la Israeli walihesabiwa kufuatana na jamaa zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hao wote waliohesabiwa katika wana wa israeli kwa kuandama nyumba za baba zao tangu umri wa miaka ishirini na zaidi; wote walioweza kwenda vitani katika Israeli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo jumla ya wanaume wote wa Israeli wenye umri kuanzia miaka ishirini na zaidi, waliofaa kuingia jeshini nchini Israeli
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaume wote Waisraeli waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi la Israeli, walihesabiwa kufuatana na jamaa zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaume wote Waisraeli waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi la Israeli walihesabiwa kufuatana na jamaa zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hao wote waliohesabiwa katika wana wa Israeli kwa kufuata nyumba za baba zao kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi; wote walioweza kwenda vitani katika Israeli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo jumla ya wanaume wote wa Israeli wenye umri kuanzia miaka ishirini na zaidi, waliofaa kuingia jeshini nchini Israeli
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Isiraeli wote wa milango ya baba zao waliokaguliwa kuwa wenye miaka ishirini na zaidi, wao wote walioweza kwenda vitani kwao Waisiraeli,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hao wote waliohesabiwa katika wana wa israeli kwa kuandama nyumba za baba zao tangu umri wa miaka ishirini na zaidi; wote walioweza kwenda vitani katika Israeli;