Numbers 1:51 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena wakati wa hema kungolewa Walawi ndio watakaolingoa na wakati wa hema kusimikwa Walawi ndio watakaolisimamisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wowote Maskani inapohamishwa, Walawi wataifungua, na wakati wowote Maskani inapotakiwa kusimamishwa, Walawi watafanya kazi hiyo. Mtu yeyote mwingine ambaye atasogea karibu nayo atauawa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena hapo maskani itakapokwenda mbele, Walawi wataishusha; tena hapo maskani itakaposimamishwa, Walawi wataisimamisha; na mgeni atakayekaribia atauawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena wakati wa hema kung'olewa Walawi ndio watakaoling'oa na wakati wa hema kusimikwa Walawi ndio watakaolisimamisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wo wote Maskani inapohamishwa, Walawi wataifungua, na wakati wo wote maskani inapotakiwa kusimamishwa, Walawi watafanya kazi hiyo. Mtu ye yote mwingine ambaye atasogea karibu nayo atauawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wowote Maskani inapohamishwa, Walawi wataifungua, na wakati wowote maskani inapotakiwa kusimamishwa, Walawi watafanya kazi hiyo. Mtu yeyote mwingine ambaye atasogea karibu nayo atauawa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena hapo maskani itakapokwenda mbele, Walawi wataishusha; tena hapo maskani itakaposimamishwa, Walawi wataisimamisha; na mgeni atakayekaribia atauawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena wakati wa hema kungolewa Walawi ndio watakaolingoa na wakati wa hema kusimikwa Walawi ndio watakaolisimamisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kao litakapoondoka, wao Walawi ndio watakaolishusha chini; tena Kao litakapofika makambini, Walawi ndio watakaolisimamisha; lakini mgeni atakayelikaribia hana budi kuuawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena hapo maskani itakapokwenda mbele, Walawi wataishusha; tena hapo maskani itakaposimamishwa, Walawi wataisimamisha; na mgeni atakayekaribia atauawa.