Numbers 10:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nao Waisraeli wakaanza safari yao kutoka jangwa la Sinai. Wingu hilo lilipaa na hatimaye likatua katika jangwa la Parani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Waisraeli wakaondoka kutoka Jangwa la Sinai wakasafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine hadi wingu lilipotua katika Jangwa la Parani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Israeli wakasafiri kwenda mbele, kwa safari zao kutoka jangwa la Sinai; na hilo wingu likakaa katika jangwa la Parani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nao Waisraeli wakaanza safari yao kutoka jangwa la Sinai. Wingu hilo lilipaa na hatimaye likatua katika jangwa la Parani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Waisraeli wakaondoka kutoka Jangwa la Sinai wakasafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine mpaka wingu lilipotua katika Jangwa la Parani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Waisraeli wakaondoka kutoka Jangwa la Sinai wakasafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine mpaka wingu lilipotua katika Jangwa la Parani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Israeli wakasafiri kwenda mbele, kwa safari yao kutoka jangwa la Sinai; na hilo wingu likakaa katika jangwa la Parani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nao Waisraeli wakaanza safari yao kutoka jangwa la Sinai. Wingu hilo lilipaa na hatimaye likatua katika jangwa la Parani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa isiraeli wakaondoka kwenda safari yao na kutoka nyikani kwa Sinai, nalo wingu likatua tena katika nyika ya Parani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Israeli wakasafiri kwenda mbele, kwa safari zao kutoka jangwa la Sinai; na hilo wingu likakaa katika jangwa la Parani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nao Waisraeli wakaanza safari yao kutoka jangwa la Sinai. Wingu hilo likapanda na kisha likatua katika jangwa la Parani.