Numbers 10:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa mara ya kwanza Waisraeli walifunga safari hiyo kwa amri ya Mwenyezi-Mungu kama ilivyotolewa na Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliondoka kwa mara ya kwanza kwa agizo la Mwenyezi Mungu kupitia kwa Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakasafiri kwanza kwa amri ya Bwana kwa mkono wa Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa mara ya kwanza Waisraeli walifunga safari hiyo kwa amri ya Mwenyezi-Mungu kama ilivyotolewa na Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliondoka kwa mara ya kwanza kwa agizo la Mungu kupitia kwa Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliondoka kwa mara ya kwanza kwa agizo la bwana kupitia kwa Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakasafiri kwanza kwa amri ya BWANA kwa mkono wa Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa mara ya kwanza Waisraeli walifunga safari hiyo kwa amri ya Mwenyezi-Mungu kama ilivyotolewa na Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama Bwana alivyoviagiza kinywani mwa Mose, ndivyo, wa kwanza walivyoondoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakasafiri kwanza kwa amri ya BWANA kwa mkono wa Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mara ya kwanza Waisraeli walifunga safari hiyo kwa amri ya Yawe kama ilivyotolewa na Musa.