Numbers 10:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huu basi, ndio utaratibu walioufuata Waisraeli kulingana na makundi yao, kila wakati walipovunja kambi na kuanza kusafiri tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huu ndio ulikuwa utaratibu wa kuondoka wa vikosi vya Waisraeli walipokuwa wanaondoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo zilivyokuwa safari zao wana wa Israeli kwa majeshi: yao; nao wakasafiri kwenda mbele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huu basi, ndio utaratibu walioufuata Waisraeli kulingana na makundi yao, kila wakati walipovunja kambi na kuanza kusafiri tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huu ulikuwa ndio utaratibu wa kuondoka wa vikosi vya Waisraeli walipokuwa wanaondoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huu ndio ulikuwa utaratibu wa kuondoka wa vikosi vya Waisraeli walipokuwa wanaondoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo zilivyokuwa safari zao wana wa Israeli kwa majeshi: yao; nao wakasafiri kwenda mbele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huu basi, ndio utaratibu walioufuata Waisraeli kulingana na makundi yao, kila wakati walipovunja kambi na kuanza kusafiri tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, wana wa Isiraeli walivyokwenda safarini, vikosi kwa vikosi, walipoondoka kwenda safari yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo zilivyokuwa safari zao wana wa Israeli kwa majeshi: yao; nao wakasafiri kwenda mbele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huu basi, ndio utaratibu Waisraeli waliofuata kulingana na makundi yao, kila wakati walipovunja kambi na kuanza kusafiri tena.