Numbers 10:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Hobabu akajibu, “Mimi sitafuatana nanyi; ila nitarudi katika nchi yangu na kwa jamaa zangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajibu, “Hapana, sitaenda; nitarudi kwenye nchi yangu mwenyewe na watu wangu mwenyewe.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akamwambia, Siendi mimi; ila nitairudia nchi yangu mwenyewe, na kwa jamaa zangu mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Hobabu akajibu, “Mimi sitafuatana nanyi; ila nitarudi katika nchi yangu na kwa jamaa zangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajibu, “Hapana, sitakwenda; nitarudi kwenye nchi yangu mwenyewe na watu wangu mwenyewe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajibu, “Hapana, sitakwenda; nitarudi kwenye nchi yangu mwenyewe na watu wangu mwenyewe.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akamwambia, Siendi mimi; ila nitairudia nchi yangu mwenyewe, na kwa jamaa zangu mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Hobabu akajibu, “Mimi sitafuatana nanyi; ila nitarudi katika nchi yangu na kwa jamaa zangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini akamwambia: Sitakwenda, ila nitarudi kwetu kwa ndugu zangu wa kuzaliwa nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akamwambia, Siendi mimi; ila nitairudia nchi yangu mwenyewe, na kwa jamaa zangu mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Hobabu akajibu: Mimi sitakwenda nanyi; lakini nitarudi katika inchi yangu na kwa wandugu zangu.