Numbers 10:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akamwambia, “Tafadhali usituache, maana wewe unajua mahali tunapoweza kupiga kambi jangwani, na unaweza kuwa kiongozi wetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Musa akasema, “Tafadhali usituache. Wewe unajua mahali yatupasa kupiga kambi jangwani, nawe unaweza kuwa macho yetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akamwambia, Usituache, tafadhali; kwa kuwa wewe wajua jinsi tutakavyopanga nyikani, nawe utakuwa kwetu badala ya macho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akamwambia, “Tafadhali usituache, maana wewe unajua mahali tunapoweza kupiga kambi jangwani, na unaweza kuwa kiongozi wetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Mose akasema, “Tafadhali usituache. Wewe unajua mahali ambapo yatupasa kupiga kambi jangwani, nawe unaweza kuwa macho yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Musa akasema, “Tafadhali usituache. Wewe unajua mahali ambapo yatupasa kupiga kambi jangwani, nawe unaweza kuwa macho yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akamwambia, Usituache, tafadhali; kwa kuwa wewe wajua jinsi tutakavyopiga kambi, nawe utakuwa kiongozi wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akamwambia, “Tafadhali usituache, maana wewe unajua mahali tunapoweza kupiga kambi jangwani, na unaweza kuwa kiongozi wetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamjibu: Usituache! Kwa kuwa unajua mahali, tunapoweza kupiga makambi nyikani, kwa hiyo utakuwa kama macho yetu sisi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akamwambia, Usituache, tafadhali; kwa kuwa wewe wajua jinsi tutakavyopanga nyikani, nawe utakuwa kwetu badala ya macho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akamwambia: Tafazali usituache, maana wewe unajua pahali tunapoweza kupiga kambi katika jangwa, na unaweza kuwa mwongozi wetu.