Numbers 10:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena ukiandamana nasi chochote chema atakachotutendea Mwenyezi-Mungu, ndicho utakachotendewa nawe pia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa utafuatana nasi, tutashirikiana nawe mema yoyote tutakayopewa na Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Itakuwa, ukienda pamoja nasi, naam, itakuwa mema yo yote Bwana atakayotutendea sisi, tutakutendea wewe vivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena ukiandamana nasi chochote chema atakachotutendea Mwenyezi-Mungu, ndicho utakachotendewa nawe pia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa utafuatana nasi, tutashirikiana nawe mema yo yote tutakayopewa na BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa utafuatana nasi, tutashirikiana nawe mema yoyote tutakayopewa na bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Isitoshe, ukienda pamoja nasi, naam, mema yote ambayo BWANA atatutendea, nawe tutakutendea vivyo hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena ukiandamana nasi chochote chema atakachotutendea Mwenyezi-Mungu, ndicho utakachotendewa nawe pia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukienda na sisi, tutakufanyizia mema yote, Bwana atakayotufanyizia sisi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Itakuwa, ukienda pamoja nasi, naam, itakuwa mema yo yote BWANA atakayotutendea sisi, tutakutendea wewe vivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena ukienda nasi chochote chema Yawe atakachotutendea, ndicho utakachotendewa nawe vilevile.