Numbers 10:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, watu wakasafiri toka Sinai, Mlima wa Mwenyezi-Mungu, mwendo wa siku tatu. Sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu liliwatangulia mwendo wa siku tatu, ili kuwatafutia mahali pa kupiga kambi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo waliondoka kutoka mlima wa Mwenyezi Mungu, nao wakasafiri kwa siku tatu. Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu liliwatangulia kwa zile siku tatu ili kuwatafutia mahali pa kupumzika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakasafiri kutoka penye mlima wa Bwana safari ya siku tatu; na sanduku la agano la Bwana likatangulia mbele yao mwendo wa siku tatu, ili kuwatafutia mahali pa kupumzika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, watu wakasafiri toka Sinai, Mlima wa Mwenyezi-Mungu, mwendo wa siku tatu. Sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu liliwatangulia mwendo wa siku tatu, ili kuwatafutia mahali pa kupiga kambi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo waliondoka kutoka mlima wa BWANA, nao wakasafiri kwa siku tatu. Sanduku la Agano la BWANA liliwatangulia kwa zile siku tatu ili kuwatafutia mahali pa kupumzika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo waliondoka kutoka mlima wa bwana, nao wakasafiri kwa siku tatu. Sanduku la Agano la bwana liliwatangulia kwa zile siku tatu ili kuwatafutia mahali pa kupumzika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakasafiri kutoka penye mlima wa BWANA safari ya siku tatu; na sanduku la Agano la BWANA likatangulia mbele yao mwendo wa siku tatu, ili kuwatafutia mahali pa kupumzika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, watu wakasafiri toka Sinai, Mlima wa Mwenyezi-Mungu, mwendo wa siku tatu. Sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu liliwatangulia mwendo wa siku tatu, ili kuwatafutia mahali pa kupiga kambi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka mlimani kwa Bwana, wakasafiri siku tatu, nalo Sanduku la Agano la Bwana likawatangulia safari ya hizo siku tatu, liwatafutie mahali pa kupumzikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakasafiri kutoka penye mlima wa BWANA safari ya siku tatu; na sanduku la agano la BWANA likatangulia mbele yao mwendo wa siku tatu, ili kuwatafutia mahali pa kupumzika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, watu wakasafiri toka Sinai, mulima wa Yawe, mwendo wa siku tatu. Sanduku la Agano la Yawe liliwatangulia mwendo wa siku tatu, kwa kuwatafutia pahali pa kupigia kambi.