Numbers 10:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila waliposafiri kutoka kambi moja hadi nyingine, wingu la Mwenyezi-Mungu lilikuwa juu yao mchana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wingu la Mwenyezi Mungu lilikuwa juu yao wakati wa mchana walipoondoka kambini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wingu la Bwana lilikuwa juu yao mchana hapo waliposafiri kwenda mbele kutoka kambini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila waliposafiri kutoka kambi moja hadi nyingine, wingu la Mwenyezi-Mungu lilikuwa juu yao mchana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wingu la BWANA lilikuwa juu yao wakati wa mchana walipoondoka kambini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wingu la bwana lilikuwa juu yao wakati wa mchana walipoondoka kambini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wingu la BWANA lilikuwa juu yao mchana hapo waliposafiri kwenda mbele kutoka kambini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila waliposafiri kutoka kambi moja hadi nyingine, wingu la Mwenyezi-Mungu lilikuwa juu yao mchana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo wingu la Bwana lilikuwa juu yao mchana, walipoondoka makambini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wingu la BWANA lilikuwa juu yao mchana hapo waliposafiri kwenda mbele kutoka kambini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mara waliposafiri kutoka kambi moja mpaka ingine, wingu la Yawe lilikuwa juu yao muchana.