Numbers 10:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila wakati sanduku liliposafiri kwenda mbele, Mose alisema, “Inuka, ee Mwenyezi-Mungu, uwatawanye adui zako, na hao wanaokuchukia uwafanye wakimbie kutoka mbele yako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wowote Sanduku lilipoondoka, Musa alisema, “Ee Mwenyezi Mungu, inuka! Watesi wako na watawanyike; adui zako na wakimbie mbele zako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ilikuwa, hapo sanduku liliposafiri kwenda mbele, ndipo Musa akasema, Inuka, Ee Bwana, adui zako na watawanyike; na wakimbie mbele zako hao wakuchukiao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila wakati sanduku liliposafiri kwenda mbele, Mose alisema, “Inuka, ee Mwenyezi-Mungu, uwatawanye adui zako, na hao wanaokuchukia uwafanye wakimbie kutoka mbele yako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wo wote Sanduku lilipoondoka, Mose alisema, “Ee BWANA, inuka! Watesi wako na watawanyike; adui zako na wakimbie mbele zako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wowote Sanduku lilipoondoka, Musa alisema, “Ee bwana, inuka! Watesi wako na watawanyike; adui zako na wakimbie mbele zako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ilikuwa, hapo sanduku liliposafiri kwenda mbele, ndipo Musa akasema, Inuka, Ee BWANA, adui zako na watawanyike; na wakimbie mbele zako hao wakuchukiao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila wakati sanduku liliposafiri kwenda mbele, Mose alisema, “Inuka, ee Mwenyezi-Mungu, uwatawanye adui zako, na hao wanaokuchukia uwafanye wakimbie kutoka mbele yako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mara Sanduku lilipoondoka, Mose akasema: Inuka, Bwana, adui zako watawanyike, nao wachukivu wako waukimbie uso wako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ilikuwa, hapo sanduku liliposafiri kwenda mbele, ndipo Musa akasema, Inuka, Ee BWANA, adui zako na watawanyike; na wakimbie mbele zako hao wakuchukiao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila wakati sanduku liliposafiri kwenda mbele, Musa alisema: Inuka, ee Yawe, uwatawanye waadui zako, na hao wanaokuchukia uwafanye wakimbie kutoka mbele yako.