Numbers 10:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na kila wakati liliposimama, Mose alisema, “Warudie, ee Mwenyezi-Mungu, hawa maelfu na maelfu ya Israeli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wowote Sanduku liliposimama, alisema, “Ee Mwenyezi Mungu, rudi, kwa maelfu ya Waisraeli wasiohesabika.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena hapo liliposimama, akasema, Ee Bwana, uwarudie maelfu kumi ya maelfu ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na kila wakati liliposimama, Mose alisema, “Warudie, ee Mwenyezi-Mungu, hawa maelfu na maelfu ya Israeli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wo wote Sanduku liliposimama, alisema, “Ee BWANA, rudi, kwa maelfu ya Waisraeli wasiohesabika.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wowote Sanduku liliposimama, alisema, “Ee bwana, rudi, kwa maelfu ya Waisraeli wasiohesabika.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena hapo liliposimama, akasema, Ee BWANA, uwarudie maelfu kumi ya maelfu ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na kila wakati liliposimama, Mose alisema, “Warudie, ee Mwenyezi-Mungu, hawa maelfu na maelfu ya Israeli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena lilipotua husema: Rudi, Bwana, kwenye maelfu na maelfu ya Isiraeli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena hapo liliposimama, akasema, Ee BWANA, uwarudie maelfu kumi ya maelfu ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kila wakati liliposimama, Musa alisema: Uwarudilie, ee Yawe, hawa maelfu na maelfu ya Israeli.