Numbers 10:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ishara hiyo ikipigwa mara ya pili, wale wa kambi za upande wa kusini wataanza kuondoka. Ishara hiyo ya tarumbeta itatolewa kila wakati wa kuanza safari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlio wa pili ukipigwa, walio kwenye makambi ya kusini wataondoka. Mlio huo wa kujulisha hatari utakuwa ishara ya kuondoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
watapiga sauti ya kugutusha kwa ajili ya safari zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ishara hiyo ikipigwa mara ya pili, wale wa kambi za upande wa kusini wataanza kuondoka. Ishara hiyo ya tarumbeta itatolewa kila wakati wa kuanza safari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukisikika mlio wa pili wa jinsi hiyo, walioko kwenye makambi ya kusini wataondoka. Mlio huo wa kujulisha hatari utakuwa ishara ya kuondoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ukisikika mlio wa pili wa jinsi hiyo, walioko kwenye makambi ya kusini wataondoka. Mlio huo wa kujulisha hatari utakuwa ishara ya kuondoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
watapiga sauti ya kugutusha kwa ajili ya safari zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ishara hiyo ikipigwa mara ya pili, wale wa kambi za upande wa kusini wataanza kuondoka. Ishara hiyo ya tarumbeta itatolewa kila wakati wa kuanza safari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtakapoyapiga mara ya pili kwa sauti kuu za kushangilia, makambi yaliyoko upande wa kusini na yavunjwe. Yatakapopigwa kwa sauti kuu za kushangilia yatakuwa ya kuvunjia makambi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
watapiga sauti ya kugutusha kwa ajili ya safari zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alama hiyo ikipigwa mara ya pili, wale wa kambi za upande wa kusini wataanza kuondoka. Alama hiyo ya baragumu itatolewa kila wakati wa kuanza safari.