Numbers 10:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wakati wa kuwaita watu wakusanyike pamoja, tarumbeta zitapigwa kwa njia ya kawaida.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ili kuwakusanya watu, piga tarumbeta zote, lakini siyo kwa mlio wa kujulisha hatari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mkutano utakapokutanishwa pamoja mtapiga, lakini hamtapiga sauti ya kugutusha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wakati wa kuwaita watu wakusanyike pamoja, tarumbeta zitapigwa kwa njia ya kawaida.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ili kukusanya kusanyiko, piga tarumbeta zote, lakini siyo kwa mlio wa kujulisha hatari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ili kukusanya kusanyiko, piga tarumbeta zote, lakini siyo kwa mlio wa kujulisha hatari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mkutano utakapokutanishwa pamoja mtapiga, lakini hamtapiga sauti ya kugutusha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wakati wa kuwaita watu wakusanyike pamoja, tarumbeta zitapigwa kwa njia ya kawaida.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kwa kuukusanya mkutano mtayapiga tu pasipo kuzitumia sauti kuu za kushangilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mkutano utakapokutanishwa pamoja mtapiga, lakini hamtapiga sauti ya kugutusha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wakati wa kuwaita watu wakusanyike pamoja, baragumu zitapigwa kwa njia ya kawaida.