Numbers 11:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alisikia watu wakilia katika familia zote, kila mtu penye lango la hema lake. Basi, hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwaka sana; naye Mose alichukizwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akasikia watu wa kila jamaa wakilia, kila mmoja kwenye mlango wa hema lake. Mwenyezi Mungu akakasirika mno, naye Musa akafadhaika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akawasikia watu wakilia katika jamaa zao zote, kila mtu mlangoni pa hema yake; na hasira za Bwana zikawaka sana; Musa naye akakasirika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alisikia watu wakilia katika familia zote, kila mtu penye lango la hema lake. Basi, hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwaka sana; naye Mose alichukizwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akasikia watu wa kila jamaa wakilia, kila mmoja kwenye mlango wa hema lake. BWANA akakasirika mno, naye Mose akafadhaika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akasikia watu wa kila jamaa wakilia, kila mmoja kwenye mlango wa hema lake. bwana akakasirika mno, naye Musa akafadhaika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akawasikia watu wakilia katika jamaa zao zote, kila mtu mlangoni pa hema yake; na hasira za BWANA zikawaka sana; Musa naye akakasirika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alisikia watu wakilia katika familia zote, kila mtu penye lango la hema lake. Basi, hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwaka sana; naye Mose alichukizwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose alipowasikia watu, wakilia ndugu na ndugu pamoja, kila mtu pa kuliingilia hema lake, nayo makali ya Bwana yalipowaka sana, vikawa vibaya machoni pake Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akawasikia watu wakilia katika jamaa zao zote, kila mtu mlangoni pa hema yake; na hasira za BWANA zikawaka sana; Musa naye akakasirika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akasikia watu wakilia katika jamaa zote, kila mutu kwenye mulango wa hema lake. Basi, hasira ya Yawe ikawaka sana; naye Musa akachukizwa.