Numbers 11:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitapata wapi nyama ya kuwalisha watu hawa wote? Maana wanalia mbele yangu wakisema: ‘Tupe nyama tule!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitapata wapi nyama kwa ajili ya watu wote hawa? Wanaendelea kunililia wakisema, ‘Tupe nyama tule!’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nipate wapi nyama ya kuwapa watu hawa wote? Kwani wanililia, wakisema Tupe nyama, tupate kula.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitapata wapi nyama ya kuwalisha watu hawa wote? Maana wanalia mbele yangu wakisema: ‘Tupe nyama tule!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitapata wapi nyama kwa ajili ya watu wote hawa? Wanaendelea kunililia wakisema, ‘Tupe nyama tule!’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitapata wapi nyama kwa ajili ya watu wote hawa? Wanaendelea kunililia wakisema, ‘Tupe nyama tule!’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nipate wapi nyama ya kuwapa watu hawa wote? Kwa nini wanililia, wakisema, Tupe nyama, tupate kula.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitapata wapi nyama ya kuwalisha watu hawa wote? Maana wanalia mbele yangu wakisema: ‘Tupe nyama tule!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitoe wapi nyama za kuwapa hao watu wote? Kwani wananililia kwamba: Tupe nyama, tule!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nipate wapi nyama ya kuwapa watu hawa wote? Kwani wanililia, wakisema Tupe nyama, tupate kula.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitapata wapi nyama ya kuwakulisha watu hawa wote? Maana wanalia mbele yangu wakisema: Utupatie nyama tukule!