Numbers 11:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siwezi kuwatunza watu wote hawa peke yangu; hilo ni jukumu kubwa mno kwangu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi siwezi kuwabeba watu hawa wote peke yangu, mzigo ni mzito sana kwangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi siwezi kuwachukua watu hawa wote peke yangu, kwa kuwa ni mzigo mzito sana wa kunishinda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siwezi kuwatunza watu wote hawa peke yangu; hilo ni jukumu kubwa mno kwangu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi siwezi kuwabeba watu hawa wote peke yangu, mzigo ni mzito sana kwangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi siwezi kuwabeba watu hawa wote peke yangu, mzigo ni mzito sana kwangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi siwezi kuwaongoza watu hawa wote peke yangu, kwa kuwa ni mzigo mzito sana wa kunishinda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siwezi kuwatunza watu wote hawa peke yangu; hilo ni jukumu kubwa mno kwangu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi peke yangu siwezi kuwatunza watu hawa wote, ni mzigo unaonilemea na kunishinda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi siwezi kuwachukua watu hawa wote peke yangu, kwa kuwa ni mzigo mzito sana wa kunishinda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siwezi kuwatunza watu wote hawa peke yangu; kwa sababu ni muzigo muzito kwangu!