Numbers 11:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, panaweza kuchinjwa kondoo na ng'ombe wa kuwatosheleza? Je, samaki wote baharini wavuliwe kwa ajili yao?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, wangeweza kupata nyama ya kuwatosha hata kama makundi ya kondoo na ya ng’ombe yangechinjwa kwa ajili yao? Je, wangetosheka hata kama samaki wote wa baharini wangevuliwa kwa ajili yao?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Makundi ya kondoo na ng'ombe yatachinjwa kwa ajili yao, ili kuwatosha? Au samaki wote wa baharini watakusanywa pamoja kwa ajili yao, ili kuwatosha?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, panaweza kuchinjwa kondoo na ng'ombe wa kuwatosheleza? Je, samaki wote baharini wavuliwe kwa ajili yao?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, wangeweza kupata nyama ya kuwatosha hata kama makundi ya kondoo na ya ng'ombe yangechinjwa kwa ajili yao? Je, wangetosheka hata kama samaki wote wa baharini wangevuliwa kwa ajili yao?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, wangeweza kupata nyama ya kuwatosha hata kama makundi ya kondoo na ya ng’ombe yangechinjwa kwa ajili yao? Je, wangetosheka hata kama samaki wote wa baharini wangevuliwa kwa ajili yao?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Makundi ya kondoo na ng'ombe yatachinjwa kwa ajili yao, ili kuwatosha? Au samaki wote wa baharini watakusanywa pamoja kwa ajili yao, ili kuwatosha?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, panaweza kuchinjwa kondoo na ng'ombe wa kuwatosheleza? Je, samaki wote baharini wavuliwe kwa ajili yao?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Itawezekana kuwachinjia kondoo na mbuzi na ng'ombe, wapate nyama za kutosha? Au inawezekana kuwakusanyia samaki wote wa baharini, wapate samaki nazo za kutosha?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Makundi ya kondoo na ng’ombe yatachinjwa kwa ajili yao, ili kuwatosha? Au samaki wote wa baharini watakusanywa pamoja kwa ajili yao, ili kuwatosha?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kunaweza kuchinjwa kondoo na ngombe wa kuwatosheleza? Samaki wote bahari wavuliwe kwa ajili yao?