Numbers 11:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose akaenda na kuwajulisha watu yale aliyosema Mwenyezi-Mungu. Kisha, akakusanya wazee sabini kutoka miongoni mwa wazee viongozi nao akawaweka kandokando kuizunguka hema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Musa akatoka na kuwaambia watu lile ambalo Mwenyezi Mungu alikuwa amesema. Akawakusanya wazee wao sabini, akawasimamisha kuzunguka Hema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akatoka, akawaambia watu maneno ya Bwana; akawakutanisha watu sabini miongoni mwa wazee wa watu, akawaweka kuizunguka Hema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose akaenda na kuwajulisha watu yale aliyosema Mwenyezi-Mungu. Kisha, akakusanya wazee sabini kutoka miongoni mwa wazee viongozi nao akawaweka kandokando kuizunguka hema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Mose akatoka na kuwaambia watu lile ambalo BWANA alikuwa amesema. Akawakusanya wazee wao sabini, akawasimamisha kuzunguka Hema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Musa akatoka na kuwaambia watu lile ambalo bwana alikuwa amesema. Akawakusanya wazee wao sabini, akawasimamisha kuzunguka Hema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akatoka, akawaambia watu maneno ya BWANA; akawakutanisha watu sabini miongoni mwa wazee wa watu, akawaweka kuizunguka Hema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose akaenda na kuwajulisha watu yale aliyosema Mwenyezi-Mungu. Kisha, akakusanya wazee sabini kutoka miongoni mwa wazee viongozi nao akawaweka kandokando kuizunguka hema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akatoka, akawaambia watu hayo maneno ya Bwana; akatoa katika wazee wa Waisiraeli watu 70, akawakusanya, akawapanga, walizunguke Hema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akatoka, akawaambia watu maneno ya BWANA; akawakutanisha watu sabini miongoni mwa wazee wa watu, akawaweka kuizunguka Hema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa akaenda na kuwajulisha watu yale Yawe aliyosema. Kisha, akakusanya wazee makumi saba kutoka kati ya wazee viongozi nao akawaweka kandokando kuzunguka hema.