Numbers 11:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kijana mmoja alitoka mbio na kumwambia Mose, “Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanaume mmoja kijana alikimbia na kumwambia Musa, “Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mmoja kijana akapiga mbio, akaenda akamwambia Musa, akasema, Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kijana mmoja alitoka mbio na kumwambia Mose, “Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanaume mmoja kijana alikimbia na kumwambia Mose, “Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanaume mmoja kijana alikimbia na kumwambia Musa, “Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mmoja kijana akapiga mbio, akaenda akamwambia Musa, akasema, Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kijana mmoja alitoka mbio na kumwambia Mose, “Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, kijana alipopiga mbio kumpasha Mose habari kwamba: Eldadi na Medadi wamo makambini wakifumbua mambo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mmoja kijana akapiga mbio, akaenda akamwambia Musa, akasema, Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kijana mumoja akatoka mbio na kumwambia Musa: Eldadi na Medadi wanatoa unabii ndani ya kambi.