Numbers 11:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo, Yoshua, mwana wa Nuni, ambaye alikuwa msaidizi wa Mose tangu ujana wake, akamwambia Mose, “Bwana wangu, wakataze!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoshua mwana wa Nuni, aliyekuwa msaidizi wa Musa tangu ujana wake, akajibu, akasema, “Musa bwana wangu, wanyamazishe!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Musa tangu ujana wake, akajibu akasema, Ee bwana wangu Musa, uwakataze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo, Yoshua, mwana wa Nuni, ambaye alikuwa msaidizi wa Mose tangu ujana wake, akamwambia Mose, “Bwana wangu, wakataze!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoshua mwana wa Nuni, ambaye alikuwa msaidizi wa Mose tangu ujana wake, akajibu akasema, “Mose bwana wangu, wanyamazishe!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoshua mwana wa Nuni, ambaye alikuwa msaidizi wa Musa tangu ujana wake, akajibu akasema, “Musa bwana wangu, wanyamazishe!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Musa tangu ujana wake, akajibu akasema, Ee bwana wangu Musa, uwakataze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo, Yoshua, mwana wa Nuni, ambaye alikuwa msaidizi wa Mose tangu ujana wake, akamwambia Mose, “Bwana wangu, wakataze!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosua, mwana wa Nuni, aliyekuwa mtumishi wake Mose tangu ujana wake, akajibu na kusema: Bwana wangu Mose, wakomeshe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Musa tangu ujana wake, akajibu akasema, Ee bwana wangu Musa, uwakataze.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo, Yoshua mwana wa Nuni, ambaye alikuwa musaidizi wa Musa tangu ujana wake, akamwambia Musa: Bwana wangu, uwakataze!