Numbers 11:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mose akamjibu, “Je, unaona wivu kwa ajili yangu? Laiti Mwenyezi-Mungu angewapa watu wake wote roho yake nao wakawa manabii!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Musa akajibu, “Je, unaona wivu kwa ajili yangu? Ningetamani watu wote wa Mwenyezi Mungu wangekuwa manabii na kwamba Mwenyezi Mungu angeweka Roho yake juu yao!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akamwambia, Je! Umekuwa na wivu kwa ajili yangu; ingekuwa heri kama watu wote wa Bwana wangekuwa manabii na kama Bwana angewatia roho yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mose akamjibu, “Je, unaona wivu kwa ajili yangu? Laiti Mwenyezi-Mungu angewapa watu wake wote roho yake nao wakawa manabii!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Mose akajibu, “Je, unaona wivu kwa ajili yangu? Ningetamani watu wote wa BWANA wangekuwa manabii na kwamba BWANA angeweka Roho yake juu yao!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Musa akajibu, “Je, unaona wivu kwa ajili yangu? Ningetamani watu wote wa bwana wangekuwa manabii na kwamba bwana angeweka Roho yake juu yao!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akamwambia, Je! Umekuwa na wivu kwa ajili yangu; ingekuwa heri kama watu wote wa BWANA wangekuwa manabii na kama BWANA angewatia roho yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mose akamjibu, “Je, unaona wivu kwa ajili yangu? Laiti Mwenyezi-Mungu angewapa watu wake wote roho yake nao wakawa manabii!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini Mose akamwambia: Wewe unaona wivu kwa ajili yangu mimi? Laiti watu wote wa Bwana wangekuwa wafumbuaji, Bwana akiwagawia roho yake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akamwambia, Je! Umekuwa na wivu kwa ajili yangu; ingekuwa heri kama watu wote wa BWANA wangekuwa manabii na kama BWANA angewatia roho yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Musa akamujibu: Unaona wivu kwa ajili yangu? Heri Yawe angewapa watu wake wote roho yake nao wapate kuwa manabii!