Numbers 11:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, mahali hapo pakaitwa Tabera, kwa sababu hapo moto wa Mwenyezi-Mungu uliwaka kati ya watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo mahali pale pakaitwa Tabera, kwa sababu moto kutoka kwa Mwenyezi Mungu uliwaka miongoni mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jina la mahali hapo likaitwa Tabera; kwa sababu huo moto wa Bwana ukawaka kati yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, mahali hapo pakaitwa Tabera, kwa sababu hapo moto wa Mwenyezi-Mungu uliwaka kati ya watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo mahali pale pakaitwa Tabera, kwa sababu moto kutoka kwa BWANA uliwaka miongoni mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo mahali pale pakaitwa Tabera, kwa sababu moto kutoka kwa bwana uliwaka miongoni mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jina la mahali hapo likaitwa Tabera kwa sababu huo moto wa BWANA uliwaka kati yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, mahali hapo pakaitwa Tabera, kwa sababu hapo moto wa Mwenyezi-Mungu uliwaka kati ya watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakapaita mahali pale Tabera (Wakio la Moto), kwa kuwa moto wa Bwana uliwawakia hapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jina la mahali hapo likaitwa Tabera; kwa sababu huo moto wa BWANA ukawaka kati yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, pahali pale pakaitwa Tabera, ni kusema “Kuchoma”, kwa sababu pale moto wa Yawe uliwaka kati ya watu.