Numbers 11:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, siku hiyo yote, kutwa kucha, na siku iliyofuata watu walishughulika kukusanya kware; hakuna mtu aliyekusanya chini ya kilo 1,000. Wakawaanika kila mahali kandokando ya kambi ili wawakaushe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mchana kutwa na usiku kucha pamoja na siku nzima iliyofuata watu walitoka kwenda kuokota kware. Hakuna mtu yeyote aliyekusanya chini ya homeri kumi. Kisha wakazianika kuzunguka kambi yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wakaondoka mchana huo wote, na usiku huo wote, na siku ya pili yote, kuwakusanya hao kware; yeye aliyepata ya upungufu kuliko wenziwe alipata kiasi cha homeri kumi; nao wakawaanika wote kando-kando ya kambi kuizunguka pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, siku hiyo yote, kutwa kucha, na siku iliyofuata watu walishughulika kukusanya kware; hakuna mtu aliyekusanya chini ya kilo 1,000. Wakawaanika kila mahali kandokando ya kambi ili wawakaushe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mchana kutwa na usiku kucha pamoja na siku nzima iliyofuata watu walitoka kwenda kuokota kware. Hakuna mtu ye yote aliyekusanya chini ya homeri kumi. Kisha wakazianika kuzunguka kambi yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mchana kutwa na usiku kucha pamoja na siku nzima iliyofuata watu walitoka kwenda kuokota kware. Hakuna mtu yeyote aliyekusanya chini ya homeri kumi. Kisha wakazianika kuzunguka kambi yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wakaondoka mchana huo wote, na usiku huo wote, na siku ya pili yote, kuwakusanya hao kware; yeye aliyepata ya upungufu kuliko wenziwe alipata kiasi cha homeri kumi; nao wakawaanika wote kandokando ya kambi kuizunguka pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, siku hiyo yote, kutwa kucha, na siku iliyofuata watu walishughulika kukusanya kware; hakuna mtu aliyekusanya chini ya kilo 1,000. Wakawaanika kila mahali kandokando ya kambi ili wawakaushe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wakaondoka, wakawa wakiwaokota hao tombo mchana kutwa na usiku kucha, tena mchana wa kesho; aliyeokota machache aliokota frasila mia, wakawaanika pande zote za kuyazunguka makambi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wakaondoka mchana huo wote, na usiku huo wote, na siku ya pili yote, kuwakusanya hao kware; yeye aliyepata ya upungufu kuliko wenziwe alipata kiasi cha homeri kumi; nao wakawaanika wote kando-kando ya kambi kuizunguka pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, siku hiyo yote, usiku kucha, na siku iliyofuata watu walikusanya kwale; hakuna mutu aliyekusanya chini ya kilo elfu moja. Wakawaanika kila pahali kandokando ya kambi kwa kuwakausha.