Numbers 11:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kulipokuwa bado kuna nyama kwa wingi na kabla watu hawajawamaliza kuila, Mwenyezi-Mungu aliwakasirikia watu, akawapiga watu kwa pigo kubwa sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini walipokuwa wakila nyama, ilipokuwa ingali kati ya meno yao na kabla hawajamaliza kula, hasira ya Mwenyezi Mungu ikawaka dhidi ya watu, naye akawapiga kwa tauni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha hapo hiyo nyama ilipokuwa ikali kati ya meno yao, hawajaitafuna bado, hasira za Bwana ziliwaka juu ya watu, Bwana akawapiga watu kwa pigo kuu mno.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kulipokuwa bado kuna nyama kwa wingi na kabla watu hawajawamaliza kuila, Mwenyezi-Mungu aliwakasirikia watu, akawapiga watu kwa pigo kubwa sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wakati walipokuwa wakila nyama ingali bado kati ya meno yao na kabla hawajamaliza kula, hasira ya BWANA ikawaka dhidi ya watu, naye akawapiga kwa tauni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini walipokuwa wakila nyama, ilipokuwa ingali kati ya meno yao na kabla hawajamaliza kula, hasira ya bwana ikawaka dhidi ya watu, naye akawapiga kwa tauni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha hapo hiyo nyama ilipokuwa ikali kati ya meno yao, hawajaitafuna bado, hasira za BWANA ziliwaka juu ya watu, BWANA akawapiga watu kwa pigo kuu mno.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kulipokuwa bado kuna nyama kwa wingi na kabla watu hawajawamaliza kuila, Mwenyezi-Mungu aliwakasirikia watu, akawapiga watu kwa pigo kubwa sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nyama zilipokuwa zingaliko vinywani mwao, zilipokuwa hazijaisha kutafunwa, ndipo, makali ya Bwana yalipowawakia hao watu, naye Bwana akawapiga hao watu pigo kubwa mno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha hapo hiyo nyama ilipokuwa ikali kati ya meno yao, hawajaitafuna bado, hasira za BWANA ziliwaka juu ya watu, BWANA akawapiga watu kwa pigo kuu mno.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulikuwa kungali nyama kwa wingi na mbele watu hawajawamaliza kula, Yawe akawakasirikia watu, akawapiga watu kwa pigo kubwa sana.