Numbers 11:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka hapo Kibroth-hataava watu walisafiri mpaka Haserothi, wakapiga kambi yao na kukaa huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka Kibroth-Hataava watu wakasafiri hadi Haserothi na kukaa huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kutoka hapo Kibroth-hataava watu wakasafiri kwenda Haserothi; wakakaa huko Haserothi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka hapo Kibroth-hataava watu walisafiri mpaka Haserothi, wakapiga kambi yao na kukaa huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka Kibroth-Hataava watu wakasafiri mpaka Haaserothi na kukaa huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka Kibroth-Hataava watu wakasafiri mpaka Haserothi na kukaa huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kutoka hapo Kibroth-hataava watu wakasafiri kwenda Haserothi; wakakaa huko Haserothi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka hapo Kibroth-hataava watu walisafiri mpaka Haserothi, wakapiga kambi yao na kukaa huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu walipoondoka hapo penye Makaburi ya Uchu wakaenda Haseroti, wakakaa Haseroti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kutoka hapo Kibroth-hataava watu wakasafiri kwenda Haserothi; wakakaa huko Haserothi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka hapo Kibroti-Hatawa watu wakasafiri mpaka Haseroti, wakapiga kambi yao na kukaa kule.