Numbers 11:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sasa nguvu zimetuishia na hakuna chakula kingine isipokuwa hii mana tu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini sasa tumepoteza hamu ya chakula; hatuoni kitu kingine chochote isipokuwa hii mana!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini sasa roho zetu zimekauka; hapana kitu cho chote; hatuna kitu cha kutumaini isipokuwa hii mana tu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sasa nguvu zimetuishia na hakuna chakula kingine isipokuwa hii mana tu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini sasa tumepoteza hamu ya chakula; hatuoni kitu kingine cho chote isipokuwa hii mana!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini sasa tumepoteza hamu ya chakula; hatuoni kitu kingine chochote isipokuwa hii mana!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini sasa roho zetu zimekauka; hakuna kitu chochote; hatuna kitu cha kutumaini isipokuwa hii mana tu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sasa nguvu zimetuishia na hakuna chakula kingine isipokuwa hii mana tu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sasa roho zetu zimekauka, kwani hivyo vyote haviko, macho yetu huona Mana tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini sasa roho zetu zimekauka; hapana kitu cho chote; hatuna kitu cha kutumaini isipokuwa hii mana tu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sasa nguvu zimetuishia na hakuna chakula kingine isipokuwa hii mana tu!