Numbers 11:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Umande ulipoanguka kambini wakati wa usiku, mana pia ilianguka pamoja na huo umande).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umande ulipoanguka kambini wakati wa usiku, pia mana ilianguka pamoja nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umande ulipoyaangukia marago wakati wa usiku, hiyo mana ilianguka pamoja nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Umande ulipoanguka kambini wakati wa usiku, mana pia ilianguka pamoja na huo umande).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umande ulipoanguka kambini wakati wa usiku, pia mana ilianguka pamoja nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umande ulipoanguka kambini wakati wa usiku, pia mana ilianguka pamoja nao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umande ulipoiangukia kambi wakati wa usiku, hiyo mana ilianguka pamoja nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Umande ulipoanguka kambini wakati wa usiku, mana pia ilianguka pamoja na huo umande).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umande ulipoanguka usiku makambini, Mana nazo zikaanguka pamoja nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umande ulipoyaangukia marago wakati wa usiku, hiyo mana ilianguka pamoja nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Umande ulipoanguka katika kambi wakati wa usiku, mana vilevile ilianguka pamoja na huo umande).