Numbers 12:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akamlilia Mwenyezi-Mungu akisema, “Nakusihi, ee Mungu, umponye.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Musa akamlilia Mwenyezi Mungu akisema, “Ee Mungu, nakuomba umponye!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akamlilia Bwana, akasema, Mpoze, Ee Mungu, nakusihi sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akamlilia Mwenyezi-Mungu akisema, “Nakusihi, ee Mungu, umponye.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Mose akamlilia BWANA akisema, “Ee Mungu, nakuomba umponye!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Musa akamlilia bwana akisema, “Ee Mungu, nakuomba umponye!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akamlilia BWANA, akasema, Mponye, Ee Mungu, nakusihi sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akamlilia Mwenyezi-Mungu akisema, “Nakusihi, ee Mungu, umponye.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akamlilia Bwana kwamba: E Mungu, ninakuomba sana, umponye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akamlilia BWANA, akasema, Mpoze, Ee Mungu, nakusihi sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akamulilia Yawe akisema: Ninakusihi, ee Mungu, umuponye.