Numbers 12:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya hayo, watu walifanya safari kutoka Haserothi, wakapiga kambi katika jangwa la Parani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya hayo, watu waliondoka Haserothi, wakapiga kambi katika Jangwa la Parani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baada ya hayo watu wakasafiri kutoka Haserothi, wakapanga kambi katika nyika ya Parani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya hayo, watu walifanya safari kutoka Haserothi, wakapiga kambi katika jangwa la Parani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya hayo, watu waliondoka Haserothi, wakapiga kambi katika Jangwa la Parani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya hayo, watu waliondoka Haserothi, wakapiga kambi katika Jangwa la Parani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baada ya hayo watu wakasafiri kutoka Haserothi, wakapiga kambi katika nyika ya Parani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya hayo, watu walifanya safari kutoka Haserothi, wakapiga kambi katika jangwa la Parani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha watu wakaondoka Haseroti kwenda safari yao, wakapiga makambi katika nyika ya Parani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baada ya hayo watu wakasafiri kutoka Haserothi, wakapanga kambi katika nyika ya Parani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya hayo, watu wakafanya safari kutoka Haseroti, wakapiga kambi katika jangwa la Parani.