Numbers 12:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakasema, “Hivi kwani Mwenyezi-Mungu amezungumza kwa kumwagiza Mose peke yake? Je, hajazungumza nasi pia?” Mwenyezi-Mungu aliyasikia maneno hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliuliza, “Je, Mwenyezi Mungu amesema kupitia Musa peke yake? Je, hajasema kutupitia sisi pia?” Naye Mwenyezi Mungu akasikia hili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasema, Je! Ni kweli Bwana amenena na Musa tu? Hakunena na sisi pia? Bwana akasikia maneno yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakasema, “Hivi kwani Mwenyezi-Mungu amezungumza kwa kumwagiza Mose peke yake? Je, hajazungumza nasi pia?” Mwenyezi-Mungu aliyasikia maneno hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliuliza, “Je, BWANA amesema kupitia Mose peke yake? Je, hajasema kutupitia sisi pia?” Naye BWANA akasikia hili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliuliza, “Je, bwana amesema kupitia Musa peke yake? Je, hajasema kutupitia sisi pia?” Naye bwana akasikia hili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasema, Je! Ni kweli BWANA amenena na Musa tu? Hakunena na sisi pia? BWANA akasikia maneno yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakasema, “Hivi kwani Mwenyezi-Mungu amezungumza kwa kumwagiza Mose peke yake? Je, hajazungumza nasi pia?” Mwenyezi-Mungu aliyasikia maneno hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakasema: Je? Bwana alisema na Mose peke yake tu? Hakusema na sisi nasi? Naye Bwana akayasikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasema, Je! Ni kweli BWANA amenena na Musa tu? Hakunena na sisi pia? BWANA akasikia maneno yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakasema: Basi, Yawe amezungumuza kwa kumwagiza Musa peke yake? Si amezungumuza nasi vilevile? Yawe akasikia maneno hayo.