Numbers 12:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Mwenyezi-Mungu akawaambia, “Sikilizeni maneno yangu: Kama kuna nabii miongoni mwenu, mimi Mwenyezi-Mungu hujifahamisha kwake katika maono na kuongea naye katika ndoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akawaambia, “Sikilizeni maneno yangu: “Akiwepo nabii wa Mwenyezi Mungu miongoni mwenu, nitajifunua kwake kwa maono, nitanena naye katika ndoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akawaambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Mwenyezi-Mungu akawaambia, “Sikilizeni maneno yangu: kama kuna nabii miongoni mwenu, mimi Mwenyezi-Mungu hujifahamisha kwake katika maono na kuongea naye katika ndoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akasema, “Sikilizeni maneno yangu: “Akiwapo nabii wa BWANA miongoni mwenu, nitajifunua kwake kwa maono, nitanena naye katika ndoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akasema, “Sikilizeni maneno yangu: “Akiwapo nabii wa bwana miongoni mwenu, nitajifunua kwake kwa maono, nitanena naye katika ndoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akawaambia, Sikilizeni basi maneno yangu; Akiwapo nabii kati yenu, Mimi, BWANA, nitajifunua kwake katika maono, Nitasema naye katika ndoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Mwenyezi-Mungu akawaambia, “Sikilizeni maneno yangu: Kama kuna nabii miongoni mwenu, mimi Mwenyezi-Mungu hujifahamisha kwake katika maono na kuongea naye katika ndoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Yasikieni maneno yangu! kama kwenu yuko mfumbuaji, mimi Bwana nitajijulisha kwake kwa maono, niseme naye kwa ndoto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akawaambia, Sikizeni basi maneno yangu; Akiwapo nabii kati yenu, Mimi, BWANA, nitajifunua kwake katika maono, Nitasema naye katika ndoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yawe akawaambia: Musikilize maneno yangu, kama kuna nabii kati yenu, mimi Yawe ninajifahamisha kwake katika maono na kuongea naye katika ndoto.