Numbers 12:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Mwenyezi-Mungu akawaka hasira dhidi yao, akaondoka, akaenda zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hasira ya Mwenyezi Mungu ikawaka dhidi yao, akawaacha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hasira za Bwana zikawaka juu yao; naye akaenda zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Mwenyezi-Mungu akawaka hasira dhidi yao, akaondoka, akaenda zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hasira ya BWANA ikawaka dhidi yao, akawaacha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hasira ya bwana ikawaka dhidi yao, akawaacha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hasira za BWANA zikawaka juu yao; kisha akaenda zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Mwenyezi-Mungu akawaka hasira dhidi yao, akaondoka, akaenda zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Makali ya Bwana yakawawakia, naye akaenda zake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hasira za BWANA zikawaka juu yao; naye akaenda zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo Yawe akawaka hasira juu yao, akaondoka, akaenda zake.