Numbers 13:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila la Yosefu (yaani kabila la Manase), Gadi mwana wa Susi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kutoka kabila la Manase (kabila la Yusufu), Gadi mwana wa Susi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika kabila ya Yusufu, yaani, katika kabila ya Manase, Gadi mwana wa Susi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila la Yosefu (yaani kabila la Manase), Gadi mwana wa Susi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kutoka kabila la Manase (kabila la Yosefu), Gadi mwana wa Susi;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kutoka kabila la Manase (kabila la Yusufu), Gadi mwana wa Susi;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika kabila la Yusufu, yaani, katika kabila la Manase, Gadi mwana wa Susi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila la Yosefu (yaani kabila la Manase), Gadi mwana wa Susi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wa shina la Yosefu wa shina la Manase Gadi, mwana wa Susi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika kabila ya Yusufu, yaani, katika kabila ya Manase, Gadi mwana wa Susi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakakwenda mpaka Negebu wakapita mpaka muji wa Hebroni. Humo wakawakuta Waahimani, Wasesai na Watalmai, wazao wa Anaki. (Muji wa Hebroni ulikuwa umejengwa miaka saba mbele ya muji wa Soani unaokuwa katika inchi ya Misri).