Numbers 13:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mkaipeleleze nchi ilivyo. Chunguzeni pia kama watu wanaoishi humo ni wenye nguvu au dhaifu, wengi au wachache.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwone nchi ni ya namna gani, na kama watu wanaoishi humo wana nguvu au ni wadhaifu, iwapo ni wachache au wengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mkaitazame nchi ni ya namna gani; na watu wanaokaa ndani yake, kwamba ni hodari au dhaifu, kwamba ni wachache au wengi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mkaipeleleze nchi ilivyo. Chunguzeni pia kama watu wanaoishi humo ni wenye nguvu au dhaifu, wengi au wachache.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwuone nchi ni ya namna gani, na kama watu waishio humo wana nguvu au ni dhaifu, iwapo ni wachache au wengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwone nchi ni ya namna gani, na kama watu waishio humo wana nguvu au ni wadhaifu, iwapo ni wachache au wengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mkaitazame nchi ni ya namna gani; na watu wanaokaa ndani yake, kama ni wenye nguvu au dhaifu, kama ni wengi au wachache;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mkaipeleleze nchi ilivyo. Chunguzeni pia kama watu wanaoishi humo ni wenye nguvu au dhaifu, wengi au wachache.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwitazame hiyo nchi, ilivyo, nao watu wanaokaa huko, kama ni wanguvu, au kama ni wanyonge, kama ni wachache, au kama ni wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mkaitazame nchi ni ya namna gani; na watu wanaokaa ndani yake, kwamba ni hodari au dhaifu, kwamba ni wachache au wengi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waamaleki wanakaa katika eneo la Negebu; Wahiti, Wayebusi na Waamori wanakaa katika eneo la milima, na Wakanana wanakaa karibu na bahari ya Mediteranea na karibu na kingo za muto Yordani.