Numbers 13:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pelelezeni kama nchi hiyo ni nzuri au mbaya, na kama miji wanamoishi ni kambi au ni nyumba zilizozungukwa na ngome.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaishi katika nchi ya namna gani? Je, ni nzuri au mbaya? Wanaishi katika miji ya namna gani? Je, haina kuta au ngome?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na nchi wanayoikaa kwamba ni njema au mbaya; kwamba wanakaa katika matuo au katika ngome;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pelelezeni kama nchi hiyo ni nzuri au mbaya, na kama miji wanamoishi ni kambi au ni nyumba zilizozungukwa na ngome.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaishi katika nchi ya namna gani? Je, ni nzuri au mbaya? Wanaishi katika miji ya namna gani? Je, haina kuta au ngome?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaishi katika nchi ya namna gani? Je, ni nzuri au mbaya? Wanaishi katika miji ya namna gani? Je, haina kuta au ngome?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na nchi wanayoikaa kama ni nzuri au mbaya na kama wanakaa katika kambi au katika ngome;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pelelezeni kama nchi hiyo ni nzuri au mbaya, na kama miji wanamoishi ni kambi au ni nyumba zilizozungukwa na ngome.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itazameni hiyo nchi, wale watu wanayoikaa, kama ni jema, au kama ni mbaya, nayo miji, wale watu wanayoikaa, itazameni, itazameni, kama ni makambikambi tu, au kama ni miji yenye maboma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na nchi wanayoikaa kwamba ni njema au mbaya; kwamba wanakaa katika matuo au katika ngome;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Kalebu akanyamazisha watu mbele ya Musa, akasema: Tuende mara moja tuitwae inchi hiyo. Kwa sababu tuko na uwezo sana wa kushinda.