Numbers 13:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, watu hao wakaenda na kuipeleleza nchi toka jangwa la Sini hadi Rehobu, karibu na njia ya kuingilia Hamathi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo wakapanda na kuipeleleza nchi kutoka Jangwa la Sini hadi Rehobu, kuelekea Lebo-Hamathi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakapanda wakaipeleleza nchi toka jangwa la Sini hata Rehobu, mpaka kuingia Hamathi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, watu hao wakaenda na kuipeleleza nchi toka jangwa la Sini hadi Rehobu, karibu na njia ya kuingilia Hamathi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo wakapanda na kuipeleleza nchi kutoka Jangwa la Sini hadi Rehobu, kuelekea Lebo-Hamathi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo wakapanda na kuipeleleza nchi kutoka Jangwa la Sini hadi Rehobu, kuelekea Lebo-Hamathi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakapanda wakaipeleleza nchi toka jangwa la Sini hadi Rehobu, mpaka kuingia Hamathi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, watu hao wakaenda na kuipeleleza nchi toka jangwa la Sini hadi Rehobu, karibu na njia ya kuingilia Hamathi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakaenda kupanda huko, wakaipeleleza nchi toka nyika ya Sini mpaka Rehobu kwenye njia ya kwenda Hamati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakapanda wakaipeleleza nchi toka jangwa la Sini hata Rehobu, mpaka kuingia Hamathi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo wakaeneza mambo ya uongo kati ya watu wa Israeli juu ya inchi waliyoipeleleza, wakisema: Inchi hiyo inawaua watu wake. Vilevile watu wote tuliowaona huko ni wakubwa sana.