Numbers 13:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kutoka kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika kabila ya Simeoni, Shafati mwana wa Hori.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kutoka kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kutoka kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wa shina la Simeoni Safati, mwana wa Hori,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika kabila ya Simeoni, Shafati mwana wa Hori.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haya ndiyo majina ya watu ambao Musa aliwatuma kwenda kupeleleza inchi ya Kanana. Musa akamupa Hosea mwana wa Nuni jina jipya, akamwita Yoshua.