Numbers 14:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jumuiya yote ya Waisraeli ikaangua kilio kikubwa, watu wakalia usiku ule.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiku ule watu wote wa jumuiya walipaza sauti zao na kulia kwa sauti kuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkutano wote wakapaza sauti zao wakalia; watu wakatoka machozi usiku ule.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jumuiya yote ya Waisraeli ikaangua kilio kikubwa, watu wakalia usiku ule.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiku ule watu wote wa jumuiya walipaza sauti zao na kulia kwa sauti kuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiku ule watu wote wa jumuiya walipaza sauti zao na kulia kwa sauti kuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkutano wote wakapaza sauti zao wakalia; watu wakatokwa machozi usiku ule.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jumuiya yote ya Waisraeli ikaangua kilio kikubwa, watu wakalia usiku ule.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wao wote wa mkutano walipozipaza sana sauti zao, watu wakalia usiku kucha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkutano wote wakapaza sauti zao wakalia; watu wakatoka machozi usiku ule.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli wote pamoja wakalalamika na kulia usiku ule.