Numbers 14:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini jumuiya yote ikatishia kuwapiga mawe. Ghafla, utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukatokea juu ya hema la mkutano, mbele ya Waisraeli wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kusanyiko lote wakazungumza kuhusu kuwapiga kwa mawe. Ndipo utukufu wa Mwenyezi Mungu ukaonekana katika Hema la Kukutania kwa Waisraeli wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mkutano wote wakaamuru wapigwe kwa mawe. Ndipo utukufu wa Bwana ukaonekana katika hema ya kukutania, mbele ya wana wa Israeli wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini jumuiya yote ikatishia kuwapiga mawe. Ghafla, utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukatokea juu ya hema la mkutano, mbele ya Waisraeli wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kusanyiko lote likazungumza juu ya kuwapiga kwa mawe. Ndipo utukufu wa BWANA ukaonekana katika Hema la Kukutania kwa Waisraeli wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kusanyiko lote likazungumza juu ya kuwapiga kwa mawe. Ndipo utukufu wa bwana ukaonekana katika Hema la Kukutania kwa Waisraeli wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mkutano wote wakaamuru wapigwe kwa mawe. Ndipo utukufu wa BWANA ukaonekana katika hema ya kukutania, mbele ya wana wa Israeli wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini jumuiya yote ikatishia kuwapiga mawe. Ghafla, utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukatokea juu ya hema la mkutano, mbele ya Waisraeli wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao wote wa huo mkutano walipotaka kuwaua na kuwatupia mawe, ndipo, utukufu wa Bwana ulipotokea penye Hema la Mkutano mbele ya wana wote wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mkutano wote wakaamuru wapigwe kwa mawe. Ndipo utukufu wa BWANA ukaonekana katika hema ya kukutania, mbele ya wana wa Israeli wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wengine wote pamoja wakatishia kuwapiga mawe. Kwa rafla, utukufu wa Yawe ukatokea juu ya hema la mukutano, mbele ya watu wote wa Israeli.