Numbers 14:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawapiga kwa maradhi mabaya na kuwatupilia mbali; lakini, kutokana nawe, nitaunda taifa lingine kubwa, lenye nguvu kuliko wao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawapiga kwa tauni na kuwaangamiza, lakini nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa lenye nguvu kuliko wao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitawapiga kwa tauni, na kuwaondolea urithi wao, nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, kisha yenye nguvu kuliko wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawapiga kwa maradhi mabaya na kuwatupilia mbali; lakini, kutokana nawe, nitaunda taifa lingine kubwa, lenye nguvu kuliko wao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawapiga kwa tauni na kuwaangamiza, lakini nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa lenye nguvu kuliko wao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawapiga kwa tauni na kuwaangamiza, lakini nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa lenye nguvu kuliko wao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitawapiga kwa tauni, na kuwaondolea urithi wao, nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, kisha yenye nguvu kuliko wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawapiga kwa maradhi mabaya na kuwatupilia mbali; lakini, kutokana nawe, nitaunda taifa lingine kubwa, lenye nguvu kuliko wao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawapiga kwa ugonjwa mbaya uuao, niwatoweshe, kisha nitakufanya wewe kuwa kabila kubwa lenye nguvu kuliko hawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitawapiga kwa tauni, na kuwaondolea urithi wao, nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, kisha yenye nguvu kuliko wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawapiga kwa ugonjwa mukali na kuwatupilia mbali; lakini, kutokana nawe, nitaunda taifa lingine kubwa, lenye nguvu kuliko wao.