Numbers 14:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa basi, ukiwaua watu wako wote kwa mara moja, mataifa ambayo yamekwisha sikia sifa zako yatasema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa utawaua watu hawa wote mara moja, mataifa ambayo yamesikia taarifa hii kukuhusu wewe watasema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi kama wewe ukiwaua watu hawa mfano wa mtu mmoja, ndipo mataifa yaliyosikia habari za sifa zako watakaponena na kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa basi, ukiwaua watu wako wote kwa mara moja, mataifa ambayo yamekwisha sikia sifa zako yatasema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa utawaua watu hawa wote kwa mara moja, mataifa ambayo yamesikia taarifa hii kukuhusu wewe watasema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa utawaua watu hawa wote mara moja, mataifa ambayo yamesikia taarifa hii kukuhusu wewe watasema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi kama wewe ukiwaua watu hawa mfano wa mtu mmoja, ndipo mataifa yaliyosikia habari za sifa zako watakaponena na kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa basi, ukiwaua watu wako wote kwa mara moja, mataifa ambayo yamekwisha sikia sifa zako yatasema,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ungewaua watu hawa kama mtu mmoja, ndipo, wamizimu waliousikia uvumi wako watakaposema kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi kama wewe ukiwaua watu hawa mfano wa mtu mmoja, ndipo mataifa yaliyosikia habari za sifa zako watakaponena na kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa basi, ukiwaua watu wako wote kwa mara moja, mataifa ambayo yamekwisha kusikia sifa zako yatasema: