Numbers 14:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Mwenyezi-Mungu aliwaua watu wake jangwani kwa sababu alishindwa kuwapeleka katika nchi aliyoahidi kuwapa.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
‘Mwenyezi Mungu alishindwa kuwaingiza watu hawa katika nchi aliyowaahidi kwa kiapo; hivyo akawaua jangwani.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni kwa sababu yeye Bwana hakuweza kuwaleta watu hao kuwatia katika nchi aliyowaapia, kwa ajili ya hayo amewaua nyikani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Mwenyezi-Mungu aliwaua watu wake jangwani kwa sababu alishindwa kuwapeleka katika nchi aliyoahidi kuwapa.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
‘BWANA alishindwa kuwaingiza watu hawa katika nchi aliyowaahidi kwa kiapo; hivyo akawaua jangwani.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
‘ bwana alishindwa kuwaingiza watu hawa katika nchi aliyowaahidi kwa kiapo; hivyo akawaua jangwani.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni kwa sababu yeye BWANA hakuweza kuwaleta watu hao kuwatia katika nchi aliyowaapia, kwa ajili ya hayo amewaua nyikani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
‘Mwenyezi-Mungu aliwaua watu wake jangwani kwa sababu alishindwa kuwapeleka katika nchi aliyoahidi kuwapa.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa Bwana hakuweza kuwaingiza watu hawa katika nchi hiyo, aliyoiapia kuwapa, kwa hiyo amewachinja nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni kwa sababu yeye BWANA hakuweza kuwaleta watu hao kuwatia katika nchi aliyowaapia, kwa ajili ya hayo amewaua nyikani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe aliwaua watu wake katika jangwa kwa sababu alishindwa kuwapeleka katika inchi aliyoahidi kuwapa.