Numbers 14:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, sasa nakusihi, ee Mwenyezi-Mungu, utuoneshe uwezo wako kwa kufanya kama ulivyotuahidi uliposema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Basi sasa nguvu za Bwana na zionekane, sawasawa na ulivyosema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa nakusihi sana, uweza wa Bwana wangu na uwe mkuu, kama ulivyonena, uliposema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, sasa nakusihi, ee Mwenyezi-Mungu, utuoneshe uwezo wako kwa kufanya kama ulivyotuahidi uliposema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Basi sasa nguvu za Bwana na zionekane, sawasawa na vile ulivyosema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Basi sasa nguvu za Bwana na zionekane, sawasawa na vile ulivyosema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa nakusihi sana, uweza wa Bwana wangu na uwe mkuu, kama ulivyonena, uliposema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, sasa nakusihi, ee Mwenyezi-Mungu, utuoneshe uwezo wako kwa kufanya kama ulivyotuahidi uliposema,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa nguvu ya Bwana wangu na ionekane kuwa kuu, kama ulivyosema kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa nakusihi sana, uweza wa Bwana wangu na uwe mkuu, kama ulivyonena, uliposema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, sasa ninakusihi, ee Yawe, utuonyeshe uwezo wako kwa kufanya kama ulivyotuahidi uliposema: