Numbers 14:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakusihi uwasamehe watu hawa dhambi zao, kadiri ya fadhili zako nyingi kama vile ulivyowasamehe tangu watoke Misri hadi sasa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kadiri ya upendo wako mkuu, usamehe dhambi ya watu hawa, kama vile ulivyowasamehe tangu walipotoka Misri hadi sasa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nakusihi, usamehe uovu wa watu hawa, kama ukuu wa rehema yako ulivyo, kama ulivyowasamehe watu hawa, tangu huko Misri hata hivi sasa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakusihi uwasamehe watu hawa dhambi zao, kadiri ya fadhili zako nyingi kama vile ulivyowasamehe tangu watoke Misri hadi sasa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kadiri ya upendo wako mkuu, usamehe dhambi ya watu hawa, kama vile ulivyowasamehe tangu wakati walipotoka Misri mpaka sasa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kadiri ya upendo wako mkuu, usamehe dhambi ya watu hawa, kama vile ulivyowasamehe tangu wakati walitoka Misri mpaka sasa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nakusihi, usamehe uovu wa watu hawa, kama ukuu wa rehema zako ulivyo, kama ulivyowasamehe watu hawa, tangu huko Misri hata hivi sasa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakusihi uwasamehe watu hawa dhambi zao, kadiri ya fadhili zako nyingi kama vile ulivyowasamehe tangu watoke Misri hadi sasa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waondolee watu hawa manza kwa ukubwa wa upole wako, kama ulivyowaondolea watu hawa makosa yao kutoka Misri mpaka hapa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nakusihi, usamehe uovu wa watu hawa, kama ukuu wa rehema yako ulivyo, kama ulivyowasamehe watu hawa, tangu huko Misri hata hivi sasa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakusihi uwasamehe watu hawa zambi zao, kadiri ya wema wako mwingi kama vile ulivyowasamehe tangu watoke Misri mpaka sasa.