Numbers 14:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akajibu, “Nimewasamehe kama ulivyoomba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akajibu, “Nimewasamehe kama ulivyoomba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akasema, Mimi nimewasamehe kama neno lako lilivyokuwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akajibu, “Nimewasamehe kama ulivyoomba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akajibu, “Nimewasamehe kama ulivyoomba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akajibu, “Nimewasamehe kama ulivyoomba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akasema, Mimi nimewasamehe kama neno lako lilivyokuwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akajibu, “Nimewasamehe kama ulivyoomba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana aliposema: Nimewaondolea makosa kwa hivyo, ulivyowaombea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akasema, Mimi nimewasamehe kama neno lako lilivyokuwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akajibu: Nimewasamehe kama vile ulivyoomba.