Numbers 14:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kwa kweli, kama niishivyo na kadiri dunia itakavyojaa utukufu wangu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, kwa hakika kama niishivyo, na kwa hakika kama utukufu wa Mwenyezi Mungu uijazavyo dunia yote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini hakika yangu, kama niishivyo, tena kama dunia hii nzima itakavyojawa na utukufu wa Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kwa kweli, kama niishivyo na kadiri dunia itakavyojaa utukufu wangu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, kwa hakika kama niishivyo, na kwa hakika kama utukufu wa BWANA uijazavyo dunia yote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, kwa hakika kama niishivyo, na kwa hakika kama utukufu wa bwana uijazavyo dunia yote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini hakika yangu, kama niishivyo, tena kama dunia hii nzima itakavyojawa na utukufu wa BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kwa kweli, kama niishivyo na kadiri dunia itakavyojaa utukufu wangu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hivyo, nilivyo Mwenye uzima, ulimwengu wote utaenezwa utukufu wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini hakika yangu, kama niishivyo, tena kama dunia hii nzima itakavyojawa na utukufu wa BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kwa kweli, kama vile ninavyoishi na kama vile dunia itakavyojaa utukufu wa Yawe,