Numbers 14:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwuliza Mose na Aroni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akamwambia Musa na Haruni:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Bwana akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwuliza Mose na Aroni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akamwambia Mose na Aroni:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akamwambia Musa na Haruni:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwuliza Mose na Aroni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamwambia Mose na Haroni kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yawe akamwuliza Musa na Haruni: