Numbers 14:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kundi hili la watu waovu litaendelea kuninungunikia mpaka lini? Nimechoka na haya manunguniko ya Waisraeli juu yangu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Jumuiya hii ovu itanung’unika dhidi yangu hadi lini? Nimesikia malalamiko ya hawa Waisraeli wanaonung’unika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Nichukuane na mkutano mwovu huu uninung'unikiao hata lini? Nimesikia manung'uniko ya wana wa Israeli, waninung'unikiayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kundi hili la watu waovu litaendelea kuninung'unikia mpaka lini? Nimechoka na haya manung'uniko ya Waisraeli juu yangu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Jumuiya hii ovu itanung'unika dhidi yangu hadi lini? Nimesikia malalamiko ya hawa Waisraeli wanaonung'unika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Jumuiya hii ovu itanung’unika dhidi yangu hadi lini? Nimesikia malalamiko ya hawa Waisraeli wanaonung’unika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Nivumilie na mkutano mwovu huu uninung'unikiao hadi lini? Nimesikia manung'uniko ya wana wa Israeli, waninung'unikiayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kundi hili la watu waovu litaendelea kuninungunikia mpaka lini? Nimechoka na haya manunguniko ya Waisraeli juu yangu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa mpaka lini, watu wa mkutano huu mbaya wakininung'unikia? Nimeyasikia manung'uniko ya wana wa Isiraeli, wao waliponinung'unikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Nichukuane na mkutano mwovu huu uninung’unikiao hata lini? Nimesikia manung’uniko ya wana wa Israeli, waninung’unikiayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kundi hili la watu waovu litaendelea kuninungunikia mpaka wakati gani? Nimechoka na haya manunguniko ya Waisraeli juu yangu!